Mkutano mkuu wa uchaguzi mwaka 2025 Ukumbi wa KBC
Wajumbe wa bodi KYECU LTD Wakiwa kwenye mafunzo mbeya
Watendaji wa Chama kikuu Cha Ushirika Kyela (KYECU LTD) Wakiwa kwenye Mkutano Mkuu.
Kaimu Meneja Mkuu KYECU LTD Ndugu NABII EMMANUEL akiwakaribisha wadau Mbalimbali Kwenye Mkutano Mkuu.
Wajumbe wa KYECU
Bodi ya KYECU
Mkuu wa Wilaya ya KYELA akiwa anashuhudia mfumo wa ShambaBora unavyoweza kusajili wakulima wa zao la Kakao.
Makao Makuu ya Ofisi Za chama kikuu cha ushrika Kyela (KYECU LTD)
Mtaa wa BONDENI