MRADI WA MADUKA IPINDA
-
Mradi huu ulianza kutumika mnamo mwaka 2023 kwa lengo kuu la kupangisha watu kwaajili ya Biashara.
-
Mradi huu unapatikana maeneo ya Ipinda tarafa ya NTEBELA jirani na kituo Police
-
Kyecu ltd inapangisha maduka haya kwaSh. 50,000/=kwa kila mwezi.
